Dira
Kuwa Mamlaka bora katika kutoa huduma ya maji safi na usafi wa mazingira Tanzania.
Dhima
Kuhakikisha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira inatolewa kwa bei nafuu ili kuchangia ukuaji wa uchumi na ustawi wa jamii katika maeneo yanayohudumiwa na Mamlaka katika wilaya ya Busega.
Maadili yetu
1. Kutoa huduma ya maji safi bila upendeleo kwa wateja wote.
2. Kutatua matatizo ya wateja kwa wakati.
3. Kutoa Ankara sahihi kwa wateja bila kupunguza au kuongeza.
4. Kutoa elimu kuhusu huduma ya maji katika jamii.
5. Kushirikiana na mteja kusoma dira ya maji.