Bili ya maji kila mwezi hutoka tarehe 8, mwisho wa kulipia ni tarehe 18
Huduma ya maji sasa unaweza kuomba mtandaoni kupitia https://huduma.maji.gov.go.tz/